Makelemo consulting services ni taasisi inayotoa huduma za ushauri wa kibiashara na kuendesha mafunzo na semina ya kuwajengea uwezo watumishi ndani Yao dhana ya umiliki ( to create Sense of ownership)
Pia tuna tengeneza mifumo thabiti ya a uendeshaji wa biashara yako au taasisi/kampuni;
A. Kutengeneza mifumo ya kifedha ( financial management policy)
B. Mifumo ya udhibiti wa manunuzi na ugavi ( procurement and supply policy)
C.Mifumo ya rasilimali watu ( Human resources policy)
D. Kuendesha mafunzo na semina kwa watumishi juu huduma nzuri kwa wateja na dhana ya umiliki ( Training on customer service and stewardship)
Karibu sana katika taasisi yetu utafurahia huduma zetu asilimia 100;
Tupo Nyegezi karibu na bus stand
Kwa mawasiliano Zaid:
0763 826 410
Whatsapp 0653 552 236
Email address; lmakelemo@yahoo.com
Official: mkmconsultingservice@gmail.com
Karibuni Sana tuwahudumie.